Monday, July 2, 2012


Leo tulitembelea familia za waathiriwa wa shambulizi la kigaidi huko mshomoroni, ili kufariji familia na kuchangia kwa maswala ya mazishi. Licha ya uchovu wa safari niliokuwanao, nilipata fursa ya kuzitembelea familia zote. Ningependa kuhimiza wakaazi wa Mombasa wazidi kuziombea familia hizi na tuendelee kusaidiana. — MSHOMORONI

No comments:

Post a Comment