Thursday, March 22, 2012

Mwalimu mkuu amnajisi mwanafunzi


Mwalimu mkuu wa shule moja ya msingi katika eneo la Samburu kaunti ya Kwale anakabiliwa na madai ya kumnajisi na kumpachika mimba msichana wa darasa la nne katika eneo hilo. Mbali na kupachikwa mimba, msichana huyo pia anadai kwamba mwalimu huyo alimsaidia katika kuiavya mimba hiyo na kumuacha akiuguza matatizo ya tumbo baada kitendo hicho. 

No comments:

Post a Comment