Wednesday, August 25, 2010

Katiba: Marekebisho

Kupatikana kwa katiba mpya nchini bila shaka kumepokelewa kama muujiza ambao wachache wangeweza kubashiri kutimia kwake ikizingatiwa utata ambao umekuwa ukizingira marekebisho ya vipengee tata.Ni utata ambao bado unazingira katiba mpya huku viongozi waliopinga katiba wakiwa bado wanapigania marekebisho.itakumbukwa kwamba ni suala lili hili ambalo lilipelekea wakenya kusaka katiba mpya hasa baada ya katiba ya Lancaster kudaiwa kufanyiwa marekebisho kupita kiasi na hivyo kuibua suala jee marekebisho mapya yataweza kutekelezwa vipi pasi na kutia kitumbua mchanga?

No comments:

Post a Comment