Tuesday, August 3, 2010

IIEC Iko Tayari


Huku Ikisalia siku mmoja tu kwa kura ya maamuzi kuandaliwa tume huru ya uchaguzi IIEC imetangaza kuwa, mfumo wa kupiga kura kwa njia ya elektroniki hautatumika katika kura hiyo ya maamuzi Agosti nne. IIEC imesema kuwa uchaguzi utakuwa kwa njia ya kawaida hata katika maeneo bunge ambayo yametumia mfumo huu wakati wa chaguzi ndogo. Kamishna anayesimamia teknoljia ya mawasiliano Davies Chirchir amesema kuwa matokeo yataanza kutolewa saa kumi na mbili jioni siku ya jumatano.

No comments:

Post a Comment