Tuesday, August 3, 2010

Mombasa Itayari


Mjini Mombasa tume shikilizi ya uchaguzi IIEC hii leo ilikuwa ikiendeleza mafunzo ya dakika za mwisho kwa makarani watakaohusika katika zoezi la kura ya maamuzi.Vilevile kufanya matayarisho ya vifaa kama masanduku ya kupigia kura na stakabadhi husika. Maoni ya wakaazi wa mkoa wa pwani yanaashiria kuwa wengi wako tayari kupiga kura hiyo kesho kutwa .

No comments:

Post a Comment