Wednesday, August 25, 2010

Gharama Ya Katiba

Takriban shilingi bilioni 6.588 zinahitajika kujaza pengo lililoko katika bajeti ya utekelezaji wa katiba mpya. Kati ya shilingi bilioni 6.87 zinazohitajika, ni shilingi milioni 282 pekee zilizoko. na huku wengi wakisubiri kwa hamu sherehe ya ijumaa, ni wazi kuwa iwapo fedha hizi hazitapatikana, basi utekelezaji wa katiba hii utakuwa ni ndoto tu. Esther Kahumbi anatuelezea mengi kuhusu bajeti hiyo.

No comments:

Post a Comment