Monday, August 25, 2014

Funny!

hahahahaha wewe ungefanyaje kwa hii scenario?...
DAME: Hallo baby, mambo?
CHALI: Poa sana mrembo wangu.
DAME: Uko wapi, aki niko na njaaaaa!
CHALI: Niko hapa Hotelini napata lunch kidogo.
DAME: Niletee lunch aki, utakuja saa ngapi?
CHALI: Badaa ya nusu saa nitakua nimefika, nikuletee nini?
DAME: Sausage, Fish fry, Samosa tano, Kebab tatu, Burger Nne za Chicken, Pork, Maji ya Dasani chupa mbili, Beef fry na iwekwe mayonnaise, Juice ya Pineaaple 1 Litre, Chapati Tatu, Pilau, Machungwa tano, oooohhhh na Salad na Black Forest cake ya dessert....!
CHALI: Umesahau viti, meza, vikombe, vijiko, sahani na mitungi.
DAME: Kwa nini baiby?
CHALI: Naona hutaki kula, unataka kufungua hoteli!

No comments:

Post a Comment