Monday, August 2, 2010

Uraia Na Katiba

Katika makala ya katiba hii leo, tunaangazia kifungu cha kumi na nne kipengee cha nne kuhusiana na uraia mara mbili, je haya yanaashiria nini na manufaa yake ni yapi.Je kuna sera mwafaka nchini za kuhakikisha kwamba kipengee hiki kina kita mizizi nchini.Hassan jumaa na makala ya katiba kwa siku ya leo

No comments:

Post a Comment