Friday, August 20, 2010
Msako Wa Changaa
Maafisa wa polisi mjini Thika wamewatia nguvuni watu kumi na kunasa lita kadhaa za changaa baada yakufanya msako mkali mjini humo. Msako huo wa changaa unajiri baada ya visa kadha wa kadha vya vifo vinavyosababishwa na kileo hicho haramu kuripotiwa kutoka maeneo mbalimbali humu nchini katika siku za hivi majuzi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment