Sunday, August 22, 2010

Hatari Ya Kuwa Zeru Zeru

Muungano wa wanachama wa zeruzeru nchini umejitokeza kushtumu vikali kitendo kilichofanywa na Nathan Mutei anayedaiwa kuwa na njama ya kujaribu kumuuza robinson simiyu ambaye ni zeruzeru. Kwa sasa muungano huo unaiomba serikali na mashirika mengine yasio ya kiserikali kushughulikia maswala yao.

No comments:

Post a Comment