Sunday, July 25, 2010

Vijana Wataka Amani


Huku siku kumi pekee zikisalia kabla ya kura ya maamuzi kufanyika,vijana wanahimizwa kudumisha amani. katika mkutano ulioandaliwa na shirika la Kenya Hope Foundation ,vijana walikutana na kubadalishana mawazo kuhusu njia za kuleta uwiano kati ya wakenya.Vilevile shirika la Kenyans for change likishirikiana na muungano wa wana bodaboda walikutana asubuhi ya leo huku ujumbe mkuu ukiwa pia haja ya wakenya kudumisha amani wakati huu ambapo huenda taharuki zikapaa.

No comments:

Post a Comment