Sunday, August 8, 2010

Hatma Mawaziri Waasi Was Serikali


Baadhi ya mawaziri walionekana kupinga katiba mpya na hata kuonekana kupata ushawishi kwa wenye maeneo bunge yao na hata katika mikao yao. Je hatma ya mawaziri hawa itakuwa ni ipi? je wataachishwa kazi kama tulivyoshuhudia mwaka 2005? na iwapo hatua hiyo itachukuliwa je vigogo wawili serikalini watakabiliana vipi na ushawashi wa mrengo wa la walionekana pia kuwa na ushawishi wa kisiasa wa aina yake? ... (more info)

No comments:

Post a Comment