Friday, July 16, 2010

Kampeni Za Ndiyo


Rais Mwai Kibaki amewataka wanaopinga katiba iliyopendekezwa kutofanya hivyo bila sababu zozote muhimu. akizungumza katika mikutano ya hadhara mkoa wa kati rais pia aliwataka wanaopinga rasimu kuelewa kuwa asilimia kubwa zaidi ya vipengee vilivyopendekezwa vinamfaa mwananchi.

No comments:

Post a Comment