Sunday, July 18, 2010

Hekaheka 16/07/10


Ama kweli, ukweli ukidhihiri bila shaka uwongo hujitenga. Lakini kwa wanasiasa msemo huu humaanisha ukweli ukijitenga, uwongo utadhihiri. Aidha propaganda zinaendelea kuganda si haba kwenye kampeni za katiba. Huku ally mtenzi akitupasha zaidi kwenye hekaheka za wiki hii, mbichi na mbivu zilianza kubainika katika maeneo ya meru na kakamega

No comments:

Post a Comment