Tuesday, July 20, 2010

Swala La Ardhi


Swala la ardhi limegubika taifa hili kwa miaka 47 licha ya wakenya miaka 47 iliyopita kupigania uhuru kwa dhana ya kurudishiwa ardhi yao na wakoloni. lakini kadri miaka ilivyosonga wengi wao wamefanywa kuwa maskwota,baadhi kupokonywa ardhi na mabwenyenye na walala hai walionyakua vipande vikubwa vya ardhi kuitumia kwa manufaa ya kibinafsi na kuwacha wakenya kufa maskini. Na licha ya uchunguzi kufanywa kupitia tume ya ardhi ya Ndug'u, Sera kuundwa tetesi ni zilezile,jee zitatauliwa sasa?

No comments:

Post a Comment