Sunday, May 19, 2013

Paukwa Pakawa Reloaded - Hilarious.. Why Lie


SHARE THIS STORY
Paukwa??? *Insert kids' voices....... Pakawa!!

Sahani?????......... Ya Mchele.

Kikombe????....... Cha Chelsea.

Shamba?????....... Za Uhuru.

Paka???????......... Za mitungi.

Nguruwe????......... Ni wabunge wakorofi.

Panga???..... Za mabibi wa Nyeri.

Ndlama???????........ Za alea ya Karsalaney.

Na Mbwa je?????....... Za Warembo wa Pwaniiiiiiii!!!!!!!!
- See more at: http://humour.nairobiwire.com/2013/05/paukwa-pakawa-reloaded-hilarious-why-lie.html#sthash.8gA3t8KK.4z44y2hq.dpuf

No comments:

Post a Comment