Wednesday, October 10, 2012

A Kenyan BOY in LOVE with a Kenyan GIRL ..... oh oh




Afta kukosana na dame wake.

Boy ana text mara ya kwanza.

'swty am realy realy sorry,i swear stai kukukosea tena,pliz nsamehe'

after 2hrs no responce.

Boy ana text tena.

'bby i know nimekosa,just 4give me and tok tome, you mean life to me'

after 3hrs tena no responce.anapiga simu hazchukuliwi

'yaani bby umeamua huniongeleshi? C atleast uniambie tu kama umeni4give,am down bby'
afta anothr hr no responce,call aichukuliwi.

Boy anaanza kuwa despa' swtheart pliz, chukua simu ama u reply,ata kama nikunitusi ni sawa'
30 mins passes.akipiga inakatwa. .boy anashka hasira.anaandika text.

'nugu wewe,unadhani wewe ni malaika nikupigie makofi,stupid gal,.kwani wewe ni wa mbele kukosana,btw ni ukweli nakatianga beshte yako juu ni msupa kukushinda,nimemalizana na wewe officialy'

afta 5 mins the galfrends number calls.

'gai unajua huyu c jacky,kwao kume lost stima akaleta 4n kwetu,aliwa ameniambia nischukua cal yoyote,bt naona imebidi. .

Boy:gai ,gai, gai, woi,pliz pliz na upendo wako na upendo wa yesu futa hizo message ,nakubembeleza tu kama siz yangu. .nipee number yako nikutumie credo ya mia tano na upendo wa yesu tu .. .



MA BOY TUKUE WAPOLE

The Hacker Within

No comments:

Post a Comment