.....hahaha BADO MNAKUMBUKA NJERI VILE ALICHESHWA???
Njeri: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje?
omondi: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa tangu
kuumbwa kwa dunia,ngoja nikupe
kionjo kidogo tu
.
Njeri:Enhee...
.
Omondi:Kwanza siku ya kupeleka mahari nitakomboa
Trella sabini zibebe ng'ombe nipeleke
kwa wazazi wako
.
Njeri: aauwww baib that's nice.
.
Omondi: bado maneno, baba yako
ntamnunulia Range Rover Sport na mama mkwe
ntampa Range Rover Evoque
.
Njeri: aki swee u are awesome...
.
Omondi: alafu mdogo wako wa kiume
ntampa Prado Tx, na hio bado ni kionjo tu
.
Njeri: Enhee...na sisi??
.
Omondi: Sisi tutachukua mtaa mzima
yaani watu watahama, kila wiki tutaishi nyumba
tofauti alafu siku ya harusi yetu tutakodi zile
meli zinabeba makontena ndiyo iwe ukumbi wetu,
itatupeleka hadi England
.
Njeri: omosh I love you
.
Omondi : subiri kwanza, tukitoka hapo
tunaenda honeymoon Mexico ..alafu tunaenda
Taiwan
shopping ya fenicha, kisha Japan
shopping ya electronics, halafu
tunaenda Dubai nikununulie vitu vya thamani
.
Njeri: Ooh my sweetheart -alafu
tukitoka huko??
.
Omondi: nitakua nimemaliza kuota !!!
.
Njeri: Nkt Haga ya Mugabe ww... !

No comments:
Post a Comment