Dela
LYRICS
Hello
Ni mimi
Baada ya miaka na mikaka, je twaweza kukutana
Turejelee yote.
Wanasema muda unaponya, mbona bado ninaumwa?
Hello
Waniskia?
Niko Pwani nikiota juu ya vile tulikuwa
Kama vijana, tulipokuwa huru
Nimesahau ilivyohisi kabla dunia ianguke
Tofauti baina yetu
Na maili milioni
Hello ‘toka kwa mataa
Mara elfu kakupigia
Kuomba msamaha kwa niliyotenda
Lakini mteja hapatikani
Hello ‘toka kwa mataa
Naweza sema nimejaribu
Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo
Lakini ni kama haikujalishi
Kamwe.
Hello
Waambaje?
Ni kawaida yangu kujizungumzia,oh
Niwie radhi
Natumahi utaniwia radhi
Je, uliweza hama toka ule mji uliokuboesha
Sio siri
Kuwa mi na we
Tunapitwa na masaa
Hello ‘toka kwa mataa
Mara elfu kakupigia
Kuomba msamaha kwa niliyotenda
Lakini mteja hapatikani
Hello ‘toka kwa mataa
Naweza sema nimejaribu
Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo
Lakini ni kama haikujalishi
Kamwe ooh
Kamwe ooh
Kamwe ooh
Kamwe, kamwe
Hello ‘toka kwa mataa
Mara elfu kakupigia
Kuomba msamaha kwa niliyotenda
Lakini mteja hapatikani
Hello ‘toka kwa mataa
Naweza sema nimejaribu
Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo
Lakini ni kama haikujalishi
Kamwe.