Friday, December 11, 2015

Adele - Hello (Swahili Cover by Dela)


Dela 
LYRICS Hello Ni mimi Baada ya miaka na mikaka, je twaweza kukutana Turejelee yote. Wanasema muda unaponya, mbona bado ninaumwa? Hello Waniskia? Niko Pwani nikiota juu ya vile tulikuwa Kama vijana, tulipokuwa huru Nimesahau ilivyohisi kabla dunia ianguke Tofauti baina yetu Na maili milioni Hello ‘toka kwa mataa Mara elfu kakupigia Kuomba msamaha kwa niliyotenda Lakini mteja hapatikani Hello ‘toka kwa mataa Naweza sema nimejaribu Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo Lakini ni kama haikujalishi Kamwe. Hello Waambaje? Ni kawaida yangu kujizungumzia,oh Niwie radhi Natumahi utaniwia radhi Je, uliweza hama toka ule mji uliokuboesha Sio siri Kuwa mi na we Tunapitwa na masaa Hello ‘toka kwa mataa Mara elfu kakupigia Kuomba msamaha kwa niliyotenda Lakini mteja hapatikani Hello ‘toka kwa mataa Naweza sema nimejaribu Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo Lakini ni kama haikujalishi Kamwe ooh Kamwe ooh Kamwe ooh Kamwe, kamwe Hello ‘toka kwa mataa Mara elfu kakupigia Kuomba msamaha kwa niliyotenda Lakini mteja hapatikani Hello ‘toka kwa mataa Naweza sema nimejaribu Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo Lakini ni kama haikujalishi Kamwe.

No comments:

Post a Comment