The site will post the latest news from Kenya without bias. Please visit regularly to receive breaking news.
Thank you for visiting.
FOR DAILY INSPIRATIONS, PLEASE SCROLL TO THE BOTTOM OF THE PAGE.
Leo tulitembelea familia za waathiriwa wa shambulizi la kigaidi huko mshomoroni, ili kufariji familia na kuchangia kwa maswala ya mazishi. Licha ya uchovu wa safari niliokuwanao, nilipata fursa ya kuzitembelea familia zote. Ningependa kuhimiza wakaazi wa Mombasa wazidi kuziombea familia hizi na tuendelee kusaidiana. — MSHOMORONI
No comments:
Post a Comment