Wednesday, August 26, 2015

HOW CAN YOU HELP THESE PEOPLE?

BOSS anamwambia sekretari wake:
Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel
kwenye mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe):
Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye
mkutano for 1 week.
MUME (anampigia mpango wa kando):
Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena,
jitayarishe tujipe raha for 1 week
(Mpango wa kando) anamwambia
mwanafunzi wake wa tution:
wiki hii nina kazi fulani hakuna tution
mpaka week ijayo.
MWANAFUNZI anampigia simu sugar
daddy wake ambaye ndo (BOSS):
Dear hakuna tution wiki hii nakuja
kwako.....
BOSS anamwambia sekretari wake:
Siendi Serena tena coz mjukuu wangu
atanitembelea.
SEKRETARI: Mume wangu hatuendi Serena
MUME (anampigia Mpango):
dah! mpenzi, huyu fala haendi tena. Shit!
So hadi next time plz
Mpango wa kando a.k.a teacher
(anampigia mwanafunzi):
Darasa kama kawaida sorry for the earlier
message.
MWANAFUNZI: darling tution
inaendelea kumbe, so nakuja wiki ijayo!!
BOSS: Sekretari sorry jitayarishe ile safari
ya serena iko palepale......
HOW CAN YOU HELP THESE PEOPLE?
Fb

No comments:

Post a Comment