Wednesday, July 9, 2014

Baba Ulituambia Utanyoa Ouru...

Lakini_Baba si ulituambia utanyoa
Ouru bila Maji ? Na mbona hukubeba
Wembe ?
Ama sharpener? Ama chupa
amevunjika? Ama Hata kisu ya
kumnyoa? Kwani ulikuwa
umnyoe na kucha Baba??
‪#‎Lakini_Baba‬,si ulituambia Leo sisi
atalala Uhuru Park? Lakini sasa tuko
njiani tunaelekea Nyumbani? Kwani
Uhuru Park iko
Dandora? Halafu Baaba,Ulitaka
kulala Uhuru Park na haukubeba
Hata Blanket? Ama angalau Mattress
Baba? Kwani ulikuwa
unataka kulala kwa gari ya Polisi ??
#Lakini_Baba,si ulituambia Siku ya
leo utatukomboa? Umetukomboa
kweli Baba?
Kwa hivo kumaanisa bei ya mkate
sasa ni silingi ishirini? Kumaanisa
sasa bei ya maziwa amesuka mpaka
silingi salasini Baba?
Kumaanisa ile pesa alipewa Anglo-
Leasing imesaarudiswa Baba??Na hii
ukombozi yako
si ni ya Kimuijiza Baba
#Lakini_Baba,si ulisema leo sisi ata-
march mpaka state house baada ya
Rally? Alaf just 20 minute later
ukatuambia twende
nyumbani? Kwani State House iko
pande ya Dagoretti Baba? Ama
Nyumba yangu kwisa kuwa State
House??
#Lakini_Baba,Na si ulisema leo
atakuwa Holiday? Na si kila mtu
alienda kazini Baba? Wewe
mwenyewe si ulienda kazi hata wewe
Baba? Kazi ya Vitendawili?
#Lakini_Baba,si watu yako wanakuita
President?? Unaitwa President na
Bado unaisi Karen Baba? Wanakuita
President na Bado
unataka kuongea na President Baba?
Ai Yawa kwani Kenya ako na
President wangapi??
#Lakini_Baba,si ulisema tusiende kazi
Baba? Na hatukuenda. Sasa
kesooo,tukifutwa kazi,wewe utataftia
sisi Kazi ingine Baba?
Wewe italisha watoto yetu kweli
Baba? Kuongea Ukweli,si hapo Baba
umenipotezea wakati na kazi pia
Baba?
#Lakini_Baba si ulisema wewe atatoa
sisi Misri utupeleke Caanan Baba??
Tuko Canaan
tayari Baba? Uko sure? Mimi Niko
kwa matatu ya Kawangware
Baba...kwani hii Canaan amesaaletwa
pande ya nyumbani? Kuongea Ukweli
# BABA Maneno yako nimeona ni
Mdomo tu. Sio kwa Ubaya lakini
Wacha tu tumalizane
Leo ‪#‎BABA‬. Nimechoka kupotesewa
wakati Maneno yako mi apan taka.
Actually, RUDI America Baba

fb

No comments:

Post a Comment