Saturday, August 14, 2010

The Prime Ministers Office


Waziri wa huduma za umma hii amezindua kukamilika rasmi kwa ujenzi wa ofisi mpya za waziri mkuu kando kando mwa barabara ya harambee avenue hapa jijini. Jumba hilo ambalo awali lilimilikiwa na kampuni ya shell na bp limeigharimu serikali kitita cha shilingi milioni mia tatu ishirini na tisa kulikarabati, kando na shilingi milioni mia saba ambazo zilitumika kulinunua...mwanahabari wetu zawadi mudibo alihudhuria hafla hiyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

No comments:

Post a Comment