Saturday, August 14, 2010

Mgogoro Wa ODM


Wabunge waasi wa ODM wamesema hawabanduki ng'o kutoka chamani na kudai kwamba waziri mkuu hajiwezi bungeni bila wao. Aidfha wamesema chama hicho ni mali yao na hivyo hakuna demokrasia ya kuwachukulia hatua yeyote kwani msimamo wa katiba haukuwa suala la kisiasa. Aidha wamesema hawatoamba msamaha na wapo tayari kupambana na hatua zozote za kinidhamu. Matamshi hayo yamewadia siku moja tu baada ya katibu wa chama hicho Anyang; Nyongo kusema kwamba watachukuliwa hatua kali.

1 comment:

  1. odm is not for luos.but anyway their days are numbered because next year will be the end of raila and his luos.rutos play cool you are the hot cake next year.watch mr km.kkk

    ReplyDelete